Kiwanda kidogo cha uchomeleaji wa vyuma mapoja na vioo na alumnium
kilichopo Tabora mjini ,,Barabara ya Skonge Karibia na daraja la kuingia Florida Pub
Kinapenda kutangazia Umma kuna punguzo hadi asilimia 40 kwa wateja 50 wa kwanza
watakao hitaji huduma zifuatazo
KITANDA
KABATI
SOFA
MEZA
VITI
MAGETI
MILANGO
MADIRISHA
VYOTE VINATENGENEZWA KWA VIOO ALUMINIUM NA VYUMA
Pia wateja wetu watajipatia zawadi za valeintine mara baada yakukamilika kwa kazi yake
MJULISHE MWENZAKO OFA HII SIYO YA KUKOSA
Karibu MAANA vitu vyetu ni maridhawa na imara karibu KESH ALUMINIUM TABORA