Sunday, 18 December 2016

DARASA APATA AJARI...KAHAMA

Mwana muziki na rapa wa ɓongo fleva
Ɗarasa amepata ajari mɓaya ƴeƴe pamoja na ɗirector wake hanscana wakiwa safarini ƙutoka kahama mkoani shinƴanga kuelekea Ƙaƙola alipoƙua akienɗa kufanƴa show ƴake
Hata hivƴo hakuna aliƴe uawa wala ƙupata majeraha.

No comments:

Post a Comment