Ni takribani miaka mitatu imepita toka kijana Elisha Malale aanze kutengeneza firiji za kuuda kwa ujuzi wake.
Kijana huyu mwenye umri wa miaka 22
Amejipatia wateja wengi kwa ubora wa bidhaa yake kua haina gharama nazinatumia umeme mdogo
Kijana huyu ambaye anatarajia kuanzisha karakana yake maalumu ya utengenezaji wa firiji na vifaa vingine vya umeme
Sasa anapatika wilaya ya Kahama mkoani shinyanga
No comments:
Post a Comment