Sunday, 18 December 2016

Mtoto wa kigogo Dar Avamia Ɓank Dar


FNB bank imevamiwa ktk tawi lake la KIMWERI na huyo dada ni mmojawapo ya majambazi alikua amevaa kininja!huyu dada alkua ni mfanyakazi wa FNB bt alifukuzwa kazi leo hii kavamia akiwa kavaa kininja jitihada za polisi zilifanikiwa kuwadhibiti na ndipo alipovuliwa mask akatambuliwa!
Huyo dada anaitwa Noella Kobello inasemekana alikuwa mfanyakazi wa BOT na inadaiwa mama yake bado yuko BOT
Abadli zisizodhibithishwa inadaiwa kuwa baba yake ndio mwenye London lounge Ubungo na Ndio mtoto pekeee kwao.
Pichani Noella akiwa chini ya ulinzi na nyingine akiwa na baba yake na self kidogo!

No comments:

Post a Comment